Waarabu wakomaa na Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Nov 2017
Waarabu wakomaa na Kichuya
Winga mahiri wa Simba Shiza Kichuya amekuwa kwenye kiwango bora msimu huu akiwa tayari ameifungia timu hiyo mabao matano.

Mkataba wake na Simba unaelekea ukiongoni sasa ikiwa chini ya miezi sita. Simba bado inajadiliana nae juu ya kuongeza mkataba wake ingawa mwenyewe hayuko tayari kusaini mkataba mpya kwa sasa.

Meneja wa mchezaji huyo Prof Midundo Mtambo amedai kuwa mchezaji huyo amezivutia timu kadhaa huko Arabuni na ziko tayari kumsajili pindi mkataba wake utakapomalizika mwishoni mwa msimu.

Midundo amesema moja ya timu hizo imemuahidi Kichuya mkataba mnono.

Hivi karibuni Simba iliikataa ofa ya klabu ya Ismail ya Misri iliyokuwa inataka kumnunua Kichuya kwa fedha ambazo uongozi wa Simba uliona ni ndogo
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’