Kotei, Nyoni warejea kikosini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Nov 2018
Kotei, Nyoni warejea kikosini
James Kotei na Erasto Nyoni wamerejea kwenye kikosi cha Simba na wako mkoani Tanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya JKT Tanzania kesho.

Wachezaji hao wamemaliza adhabu za kufungiwa michezo mitatu kutokana na makosa waliyopatikana nayo kwenye michezo iliyopita.

Uongozi wa klabu ya Simba umethibitisha uwepo wa wachezaji hao kwenye mchezo wa kesho.

"Kikosi chetu tayari kipo jijini Tanga kwa ajili ya mchezo wa kesho Jumamosi dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa katika uwanja wa Mkwakwani.

"Wachezaji wetu Erasto Nyoni na James Kotei wamemaliza adhabu zao hivyo watakuwepo katika mchezo huo iwapo watapangwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems.

"Mchezaji pekee ambaye hatacheza ni Asante Kwasi ambaye alipata majeraha akiwa mazoezini," imesema taarifa ya Simba
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’