Jana Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk Harrison Mwakyembe wakati akifungua Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga, aliipa timu hiyo siku 60 kuhakikisha imejaza nafasi zilizo wazi.
Nafasi zilizowazi ni ya Mwenyekiti na wajumbe wawili wa Kamati ya Utendaji baada ya kujiuzulu kwa Salum Mkemi na Hashim Abdalla.
Yusuph Manji yuko mbioni kurejea katika nafasi yake ya Mwenyekiti baada ya wanachama wa klabu ya Yanga kumtaka arejee baada ya kukataa barua yake ya kuomba ajiuzulu.
Nafasi nyingine zinaweza kujazwa baada ya Mwenyekiti kurejea.

ADVERTISE HERE