Mlipili akana kutoweka Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
31 Oct 2018
Mlipili akana kutoweka Simba
Beki wa Simba Yusufu Mlipili amesema hakuna ukweli wowote juu ya taarifa kwamba alikuwa ameikacha timu na kuelekea 'kusikojulikana'.

Mlipili aliyesajiliwa na Simba kutoka Toto Africans misimu miwili iliyopita, hakuonekana kwenye kikosi cha Simba kwa siku kadhaa huku viongozi wa timu hiyo wakisema hawajui alipo.

"Nipo na nitaendelea kuwepo ondoeni hofu watu wangu ni uzushi tu mimi kutokuwepo mazoezini. Simba Nguvu moja kila hatua duaaa," amesema

Hivi karibuni Mlipili alikiri kuwa na wakati mgumu kumshawishi kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameweze kumjumuisha kwenye kikosi cha kwanza.

Juuko Murshidi, Erasto Nyoni, Paul Bukaba na Paschal Wawa ndio waliocheza mechi nyingi za Simba msimu huu
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’