Mkutano Mkuu wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Yanga unafanyika leo kwenye ukumbi wa Bwalo la Polisi, Masaki jijini Dar es salaam.
Maandalizi kuelekea mkutano huo unaotarajia kuanza saa nne asubuhi yemekamilika, wanasubiriwa Wanachama kuingia tayari kuanza.

ADVERTISE HERE