Mabao matatu aliyofunga Emmanuel Okwi leo kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting yamemfanya afikishe mabao saba sawa na mshambuliaji wa Mbeya City Eliud Ambokile.
Okwi ameondoka na mpira leo uwanja wa Taifa akiiongoza Simba kuondoka na ushindi wa mabao 5-0.
Meddie Kagere wa Simba na Habibu Kiyombo wa Singida United wanafuatia kwenye orodha hiyo ya vinara wa kupachika mabao wakiwa wamefunga mabao matano kila mmoja

ADVERTISE HERE