Azam FC yaanza 'kuonja' shubiri ya Ngoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2018
Azam FC yaanza 'kuonja' shubiri ya Ngoma
Mshambuliaji mpya wa Azam FC Donald Ngoma anatarajiwa kuwa nje kwa miezi miwili na nusu hadi mitatu akitibu majeraha ya goti.

Ngoma aliyesajiliwa na Azam FC akitoka klabu ya Yanga amerejea jijini Dar es salaam hivi karibuni akitokea Afrika Kusini alikofanyiwa vipimo vya majeraha yake.

Ngoma hajacheza kwa zaidi ya miezi 10 tangu alipoumia Septemba 2017, akiwa ameichezea Yanga michezo miwili pekee.

Mshambuliaji huyo huenda akarejea dimbani mwanzoni mwa mwezi wa tisa, ikiwa ni mwaka mmoja tangu alipoumia.

Hata hivyo hiyo haitakuwa mara ya kwanza kwa Ngoma kupewa muda wa mapumziko ili aweze kupona majeraha yake na akashindwa kurejea dimbani.

Uongozi wa klabu ya Yanga ulifikia makubaliano ya kuachana na mshambuliaji huyo kwa kuvunja mkataba wake kutokana na kuandamwa na majeraha kwa muda mrefu.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
16h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’