Msimamo wa ligi baada ya kukamilika mzunguuko wa 11

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2018
Msimamo wa ligi baada ya kukamilika mzunguuko wa 11
Ushindi wa bao 1-0 wa dakika za majeruhi umeiwezesha Yanga kuifunga KMC katika mchezo wa mwisho siku ya leo kukamilisha mzunguuko wa 11

Matokeo ya michezo minne iliyopigwa leo;



Eliud Ambokile wa Mbeya City ameendelea kuongoza orodha ya watupia nyavu akiwa amefunga mabao saba.

Habibu Kiyombo wa Singida United anashika nafasi ya pili akiwa amepachika mabao matano.

Washambuliaji wawili wa Simba Meddie Kagere na Emmanuel Okwi sambamba na Stamili Mbonde wa Mtibwa Sugar wamefunga mabao manne kila mmoja.

Azam Fc inaongoza ligi ikiwa imejikusanyia alama 24. Yanga iko nafasi ya pili ikiwa na alama 22 na Simba ikishika nafasi ya tatu ikiwa na alama 20

Msimamo kamili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’