Mkude yuko fiti, kuivaa Ruvu Shooting Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Oct 2018
Mkude yuko fiti, kuivaa Ruvu Shooting Jumapili
Jana Simba iliifumua Alliance Fc mabao 5-1 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara ikicheza bila ya kiungo wake Jonas Mkude aliyekuwa majeruhi kwa zaidi wiki mbili.

Baada ya mchezo huo Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems alisema hakumtumia Mkude kwenye mchezo wa jana kwa kuwa ameanza mazoezi siku chache zilizopita baada ya kupona jeraha la goti.

Lakini anatumai kiungo huyo ataweza kucheza mchezo ujao dhidi ya Ruvu Shooting utakaopigwa kwenye uwanja wa Taifa Jumapili.

Mkude aliumia kwenye mchezo dhidi ya African Lyon, mchezo ambao Simba iliibuka na ushindi wa mabao 2-1.

Majeraha hayo ya goti pia yalisababisha aondolewe kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kilichokuwa kinajiandaa kuikabili Cape Verde jijini Dar es salaam.

Kupona kwake kutaifanya Simba iimarike zaidi kwani kutokana na uwezo wake, ndiye mchezaji anayeaminiwa zaidi kwenye safu ya kiungo cha ukabaji.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’