Nahodha John Bocco 'Adebayor' amerejea kwenye kikosi cha Simba kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Alliance.
Mchezo huo utapigwa kwesho Jumatano kwenye uwanja wa taifa na utarajiwa kuanza saa moja jioni.
Bocco lifungiwa michezo mitatu baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu kwenye mchezo dhidi ya Mwadui Fc.
Amekosa michezo dhidi ya Yanga, African Lyon na Stand United.
Kocha Mkuu Patrick Aussems amesema kurejea kwa Bocco kumeimarisha zaidi safu ya ushambuliaji ya kikosi chake.
"Ni mchezaji mzuri ambaye ana kipaji akiwa ndani ya uwanja na nje kwa kuwaongoza wachezaji wenzake hivyo kurejea kwake kunaongeza nguvu ndani ya kikosi katika kutafuta ushindi" alisema.

ADVERTISE HERE