Yanga ndio klabu ya kwanza kuanza michakato wa mabadiliko tangu miaka ya 90.
Katiba ya klabu hiyo kongwe zaidi nchini tayari ilishafanyiwa marekebisho kuruhusu muundo wa hisa.
Hivyo Mkutano Mkuu wa Yanga wiki ijayo utakuwa na kazi moja tu ya kubariki muundo huo mpya wa uendeshaji kama ilivyo kwenye Katiba.
Kwa mujibu wa Katiba ya Yanga, wanachama wa klabu hiyo wanatakiwa kubaki na hisa asilimia 51 na nyingine 49 zikimilikiwa na wawekezaji.
Baada ya Mkutano Mkuu Jumapili ijayo, Yanga itakuwa imeungana rasmi na vilabu vya Azam FC, Simba, Singida United na Mbeya City ambavyo tayari vimetangaza kuwa kampuni.

ADVERTISE HERE