Mgosi anaamini mabao yataongezeka Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Oct 2018
Mgosi anaamini mabao yataongezeka Msimbazi
Kocha wa kikosi cha pili cha Simba Mussa Hassan Mgosi amesema safu ya ushambuliaji ya Simba imeanza kuimarika hasa baada ya kuishuhudia kwenye mchezo wa jana dhidi ya Stand United.

Simba iliibuka na ushindi wa mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Hata hivyo Mgosi amesema washambuliaji wa Simba lazima waongeze umakini ili kufunga mabao kutoka nafasi nyingi wanazotengeneza.

"Timu ni nzuri, wanacheza vizuri sana kuanzia nyuma katikati mpaka safu ya ushambuliaji. Tatizo bado liko katika umaliziaji tu"

"Timu inatengeneza nafasi nyingi sana, naamini kocha amekuwa akifanyia kazi changamoto hiyo ili nafasi hizo zitumike ipasavyo kuipatia Simba mabao"

"Naamini kama washambuliaji wataongeza umakini, tunaweza siku moja tukashuhudia timu ikifungwa bao 10 na Simba hapa uwanja wa Taifa"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’