Juuko alivyompoteza Kitenge uwanja wa Taifa jana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Oct 2018
Juuko alivyompoteza Kitenge uwanja wa Taifa jana
Jana beki Juuko Murshid aliweza kumtuliza mshambuliaji wa Stand Utd, Alex Kitenge asilete madhara langoni kwa Simba.

Kitenge anasifika kwa uwezo wake wa kufunga, baada ya kuweza kuifunga Yanga mabao matatu peke yake licha ya kwamba walipoteza mchezo huo kwa 4-3.

Juuko alikuwa anacheza kwa hatua na Kitenge, ambapo sehemu ya kutumia nguvu alikuwa anatumia na sehemu ambayo alikuwa ahitajiki kutumia alikuwa hatumii.

Ndani ya dakika zote hizo kila ambapo walikuwa wakipenyeza mashambulizi, Juuko alikuwa makini na Kitenge.

Mabao ya Cletous Chama, Emmanuel Okwi na bao la kujifunga la beki wa Stand United, Mulilo yalitosha kuihakikishia Simba ushindi muhimu wa mabao 3-0.

Aidha katika mchezo huo, Mohammed Ibrahim 'Mo' alifunga bao akimalizia mkwaju uliogonga mwamba ambao ulipigwa na Ndemla.

Hata hivyo bao hilo lilikataliwa na waamuzi katika mazingira ya kushangaza.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’