Mo an'gara Simba ikishinda 3-1 mchezo wa kirafiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Nov 2017
Mo an'gara Simba ikishinda 3-1 mchezo wa kirafiki
Jana Simba SC iliichapa Kaengesa ya Sumbawanga mabao 3-1 katika mchezo wa kirafiki uliofanyika Uwanja wa Nelson Mandela.

Simba itakuwa mgeni wa Tanzania Prisons katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara Novemba 18, Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya.

Na katika kujiandaa na mchezo huo, Simba iliweka kambi fupi Sumbawanga tangu Jumatano, ikitokea Mpanda mkoani Katavi ambako Jumanne ilicheza mechi na wenyeji, Nyundo FC na kutoka sare ya 0-0.

Mabao ya Simba yaliwekwa kambani na kiungo Mohammed Γ’β‚¬ΛœMoÒ€ℒ Ibrahim aliyeonyesha kiwango cha kuvutia, akifunga moja katika dakika ya 29 na mshambuliaji Juma Luizo mawili dakika ya 47 na 92.

Simba imeondoka leo kurejea Mbeya kwa maandalizi ya mwisho ya mchezo dhidi ya Prisons.

Kikosi cha Simba kiliwakilishwa na ; Emmanuel Mseja/Ali Salim dk70, Ally Shomary, Jamal Mwambeleko/Nicholas Gyan dk60, James Kotei, Yussuf Mlipili, Mwinyo Kazimoto, Jamal Mnyate, Muzamil Yassin, Joma Luizo, Haruna Niyonzima na Mo Ibrahim.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’