Malimi Busungu asajiliwa na Lipuli

Yanga Damu By Yanga Damu
β€’
1 Aug 2017
Malimi Busungu asajiliwa na Lipuli
Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Malimi Busungu amekamilisha usajili kwenye klabu iliyopanda daraja msimu uliopita, Lipuli FC.

Busungu amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuitumikia Lipuli FC.

Busungu aliyemaliza mkataba wa kuitumikia Yanga, msimu uliopita aliichezea timu hiyo dakika 30 pekee katika mchezo wa VPL dhidi ya Mtibwa Sugar.

Aidha Lipuli pia imekamilisha usajili wa kiungo wa zamani wa Yanga, Omega Seme.

Athumani Iddi 'Chuji' kiungo mwingine wa zamani Yanga yeye amesajiliwa na Ndanda FC.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’