Baada ya ushindi wa jana wa mabao 2-1 dhidi ya African Lyon, wachezaji watano wa Kimataifa walioitwa kujiunga na timu za Taifa wanatarajiwa kuondoka wakati wowote.
Emmanuel Okwi, Juuko Murshidi, Haruna Niyonzima, Meddie Kagere na Cleotus Chama walichelewa kujiunga na timu zao za Taifa kutokana na kusubiri mchezo huo.
Aidha Aishi Manula, Jonas Mkude na Shomari Kapombe wao wamerejea kambi ya timu ya Taifa ya Tanzania. Wameungana na John Bocco ambaye hakucheza jana kutokana na kutumikia adhabu ya kukosa michezo mitatu.
Simba imetoa wachezaji tisa kwenye timu za Taifa

ADVERTISE HERE