Dilunga aanza mazoezi mepesi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Oct 2018
Dilunga aanza mazoezi mepesi
Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeendelea kujifua uwanja wa Boko Veterans kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon.

Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Taifa na unatarajiwa kuanza saa moja usiku.

Habari njema kwa Simba ni kurejea kikosini kwa kiungo wake Hassani Dilunga ambaye alikuwa majeruhi kwa zaidi ya wiki nne.

Dilunga ameanza mazoezi mepesi jana na huenda ataanza kuitumikia Simba baada ya kumalizika kwa wiki mbili za michuano ya Kimataifa kulingana na kalenda ya FIFA.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
5h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
11h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
14h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’