Kabla ya kuondoka kurejea DR Congo kwa ajili ya majukumu ya timu ya Taifa, Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera mapema leo alisaini mkataba wa kuifundisha Yanga.
Zahera alisaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha Yanga.
Zahera ambaye pia ni kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya DR Congo, akirejea atakuwa na kazi ya kuisuka upya Yanga iliyotetereka msimu huu.

ADVERTISE HERE