Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema licha ya Yanga kutwaa makombe mengi ya ligi, lakini Simba klabu yenye rekodi ya kutwaa mataji mengi zaidi kwa ujumla wake.
Mapema leo kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Manara ametoa ufafanuzi na idadi ya mataji ambayo Simba imetwaa.
"Ni kweli Yanga ni Mabingwa mara 27 Tanzania Simba mara 19.Iila kwa makombe yote Tanzania na yale vilabu vyetu vimewahi kushiriki Simba imechukua Makombe 51 huku Yanga ikiwa na 42
"Lakini tuwe wakweli kdogo, kwa nini Simba baada ya kuchukua ubingwa msimu uliopita wenzetu wameamua kujiita Mabingwa wa kihistoria?
"Hivi Tanzania na nchi zote za Afrika Mashariki na kati ipi kubwa?
"Simba ni Bingwa wa kihistoria wa ukanda huu wa Afrika, mbona sisi hatujiiti Mabingwa wa kihistoria wa zaid ya nchi 11?
"Yaani sisi ni Mabingwa wa Mabingwa wa kihisroria
"Hivi mshawahi kusikia Manchester United au Mufurila Wonderes ya Zambia wakijiita Mabingwa wa kihistoria? BINGWA NI MMOJA TU..HAKUNA WA KIHISTORIA WALA JOGRAFIA," amefunguka Manara

ADVERTISE HERE