Ligi Kuu ya Tanzania Bara imeendelea leo kwa michezo sita kupigwa kwenye viwanja tofauti tofauti.
JKT Tanzania na Azam FC zimeshindwa kuibuka na ushindi kwenye michezo yao ya leo hivyo kuipa nafasi Simba kupanda kileleni mwa msimamo wa ligi kama itaibuka na ushindi kesho dhidi ya Mbao FC.
Yanga inaongoza ligi kwa sasa baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Coastal Union na kufikisha alama tisa.
Simba ina alama saba na kama itashinda kesho itafikisha alama 10.
Haya hapa matokeo ya michezo yote iliyopigwa leo;

ADVERTISE HERE