Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya kombe la Shirikisho Barani Afrika Yanga wako nchini Algeria ambapo leo wanashuka katika dimba la El Djezair kuumana na USM Alger kwenye mchezo wa kwanza wa kundi D.
Kikosi cha Yanga kikiwa na wachezaji 18 kilisafiri Algeria kuwakabili mabingwa hao wa zamani wa ligi ya mabingwa kwenye mchezo unaotarajia kuanza saa nne kamili usiku kwa saa za Tanzania.
Benchi la ufundi la Yanga limesema wanafahamu ugumu wa mchezo huo lakini wamewaandaa vijana nao kupata matokeo.
Mchezo mwingine wa kundi D utakaozikutanisha Rayon Sports dhidi ya Gor Mahia utapigwa leo saa moja jioni.
Yanga imejiwekea malengo ya kutinga angalau robo fainali ya michuano hiyo ambayo bingwa wake atanyakua kitita cha Bil 2.8

ADVERTISE HERE