Maandalizi mazuri yatatubeba mechi ya Ndanda - Bocco

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Sep 2018
Maandalizi mazuri yatatubeba mechi ya Ndanda - Bocco
Nahodha wa kikosi cha Simba John Bocco amesema wana matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi kwenye mchezo wa leo dhidi ya Ndanda kutokana na maandalizi mazuri waliyofanya.

Akizungumza mapema leo kuelekea mchezo huo utakaopigwa saa kumi kamili jioni na kurushwa mbashara na Azam Sport 2, Bocco amesema wanawaheshimu wapinzani wao kutokana na kuwa watakuwa wanacheza kwenye uwanja wao wa nyumbani.

"Tunawaheshimu Ndanda kwa kuwa watakuwa wanacheza katika uwanja wao wa nyumbani. Lakini naamini maandalizi tuliyofanya yatatuwezesha kuondoka na alama zote tatu leo," amesema Bocco.

Simba itakutana na Ndanda leo ikiwa na rekodi nzuri ya kushinda katika uwanja wa Nangwanda Sijaona utakaopigwa mchezo huo leo.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’