Mkutano Mkuu wa wanachama wa klabu ya Yanga ambao ulikuwa umepangwa kufanyika mwishoni mwa wiki, umeahirishwa sababu kubwa ikielezwa viongozi kusafiri na kikosi cha Yanga kinachoelekea nchini Algeria.
Ratiba ilikuwa inaonyesha Mkutano huo ungefanyika Jumapili May 06 siku ambayo Yanga itakuwa nchini Algeria ikiumana na USM Alger.
Baadhi ya wanachama walipendekeza tarehe ya Mkutano huo kubadilishwa ili kutoa nafasi kwa viongozi kutilia mkazo mchezo huo utakaopigwa May 06 saa nne usiku kwa saa za Tanzania.
Yanga inakabiliwa na mchezo mwingine wa CAF CC, May 16 jijini Dar es salaam dhidi ya Rayon Sport.

ADVERTISE HERE