Huyu Libasse ni moto kweli

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1d ago
Huyu Libasse ni moto kweli

Kiungo mshambuliaji wa Simba Libasse Gueye ameendelea kuwaacha mbali wapinzani wake kwenye ligi akiwa mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi mpaka sasa.

Libasse amehusika kwenye mabao 9 akitoa asist 7 na kufunga mabao mawili.

Anaongoza orodha ya vinara wa asisti akiwaacha mbali wanaomfuatia na asisti 3.

Sasa mashabiki wanaimba wimbo wake majukwaani kila Simba inapocheza kwani Libasse ni moto kweli..!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 18 2026
Magazeti ya leo Jumapili, Oktoba 18 2026
2d ago
READ MORE β†’