Kocha Msaidizi Yanga ni huyu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Nov 2024
Kocha Msaidizi Yanga ni huyu

Yanga imemtambulisha Mustafa Kodro kuwa Kocha Msaidizi wa kikosi cha mabingwa hao wa nchi akichukuwa nafasi iliyoachwa na Moussa N'Daw

Kodro (43) ni pendekezo la kocha Sead Ramovic ambaye alifanya nae kazi katika klabu ya TS Galaxy ya Afrika Kusini

Kodro ni raia wa Bosnia akiwa na leseni ya ukocha ya UEFA Pro

Kabla ya kugeukia kwenye ukocha, Kodro alikuwa kiungo mahiri akicheza katika klabu mbalimbali za Premia Ligi huko Bosnia

Kodro anakamilika benchi la ufundi la Yanga ambalo linawajumuisha wataalam wote waliobaki ambao walikuwa katika benchi la Miguel Gamondi ukimuondoa N'daw

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
Kamwe apongeza TFF kupima dawa za kusisimua miili
1h ago
READ MORE β†’
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
Yanga imepania kuiwekea rekodi CFFA
6h ago
READ MORE β†’
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
Ngoma wakati utafika, atapewa heshima yake
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mwenda aanza mazoezi Yanga
Mwenda aanza mazoezi Yanga
22h ago
READ MORE β†’
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
Viingilio; Yanga vs CFFA, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
Jumatano tuweke rekodi pamoja - Kamwe
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
Yanga yaweka rekodi ya mabao raundi ya pili CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
TFF kuwabaini wanaotumia dawa za kusisimua misuli Ligi Kuu
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’