Mastaa wengine kuungana na Simba Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Sep 2026
Mastaa wengine kuungana na Simba Afrika Kusini

Kikosi cha Simba tayari kiko Afrika Kusini wakiwasili mapema leo kwa ajili ya kambi ya siku 10.

Mnyama atajichimbia katika mji wa Polokwane chini ya benchl la ufundi linaloongozwa na kocha Steve Barker.

Simba iliondoka jiijini Dar es salaam mapema leo ikiwa idadi kubwa ya wachezaji wazawa ambapo nyota wengine wa kigeni walitarajiwa kuungana na timu huko Afrka Kusini.

Wachezaji kama Nao Maema na Rushine de Reuck pamoja na kocha Barker na benchi la ufundi kwao imekuwa rahisi kwani tayari walikuwa Afrika Kusini kwa ajli ya mapumziko baada ya ligi kusimama kupisha kalenda ya FIFA.

Wachezaji wote ambao hawana majukumu ya timu za Taifa, watakuwa sehemu ya kambi hiyo maalum.

Wakiwa Afrika Kusini, Simba inatarajiwa kucheza mechi mbili kubwa za kirafiki na zenye ushindani katika mkakati wa kukiweka kikosi tayari kwa mikiki mikiki ya ligi kuu ya michuano ya Kimataifa baada ya mapumziko ya FIFA

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
15 de Agosto yawasili Dar kwa mchezo dhidi ya Simba
1h ago
READ MORE β†’
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
15 de Agosto wanaandaliwa dozi saizi yao
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 20, 2026
5h ago
READ MORE β†’
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
CAF yabadili mwamuzi wa mchezo wa 15 de Agosto dhidi ya Simba SC
19h ago
READ MORE β†’
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
Wanasimba kushuhudia mchezo dhidi ya 15 de Agosto kwenye skrini kubwa Mwembeyanga
23h ago
READ MORE β†’
Huyu Libasse ni moto kweli
Huyu Libasse ni moto kweli
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
Mnyama amepania kumaliza mechi mapema Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
Mara Paap!, Dube anatua Msimbazi
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 19 2026
1d ago
READ MORE β†’
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
Barker aweka mkakati wa kuwaadhibu 15 de Agosto licha ya kuwazuia mashabiki
2d ago
READ MORE β†’