Kikosi cha Simba dhidi ya Mbeya City leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Aug 2018
Kikosi cha Simba dhidi ya Mbeya City leo
Mabingwa wa soka Tanzania Bara, Simba muda mchache ujao wanashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili Mbeya City kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara, mzunguuko wa pili.

Tayari Kocha Patrick Aussems ameweka hadharani kikosi cha wekundu hao wa Msimbazi.

Hiki Hapa

1. Aishi Manula
2. Shomari Kapombe
3. Asante Kwasi
4. Paschal Wawa
5. Erasto Nyoni
6. Jonas Mkude
7. James Kotei
8. Hassani Dilunga
9. John Bocco (C)
10. Meddie Kagere
11. Shiza Kichuya

SUB

Ally Salim
Mohammed Hussein
Nicholas Gyan
Mohammed Ibrahim
Said Ndemla
Mohammed Rashid
Adam Salamba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’