Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Mbeya City dhidi ya Yanga ambao awali ulipangwa kufanyika May 01, sasa utachezwa Jumapili ijayo, April 22 2018.
Yanga iko nchini Ethiopia ambapo leo inacheza na Wo;aitta Dicha mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho.
Hiyo inamaana baada ya mchezo wa leo, Yanga italazimika kurejea jijini Dar es salaam kesho kisha kuunganisha safari mkoani Mbeya.
Mazingira kama haya yaliikumba Yanga wakati ilipokwenda mkoani Ruvuma kuikabili Majimaji ikiwa imetoka Shelisheli kucheza na St Louis mchezo wa ligi ya Mabingwa.

ADVERTISE HERE