Timu ya Taifa ya Uganda chini ya Miaka 17 imetwaa ubingwa wa Cecafa Total U17 Afcon Zonal Qualifiers baada ya kuwafunga Ethiopia kwa mabao 3-1 kwenye mchezo wa Fainali uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa,Dar es Salaam.
Timu ya vijana ya Tanzania, Serengeti Boys imemaliza nafasi ya tatu baada ya kuichapa Rwanda kwa mikwaju ya penati 4-2 kufuatia sare ya mabao 2-2 kwenye mchezo wa mapema.

Licha ya kushinda nafasi hiyo, Serengeti Boyz pia imepata tuzo ya timu yenye nidhamu huku mshambuliaji wake Kelvin John akiibuka mchezaji bora wa mashindano hayo.

ADVERTISE HERE