Simba yajifua kuikabili Mbeya City kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Aug 2018
Simba yajifua kuikabili Mbeya City kesho
Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba wameendelea kujifua viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbeya City hapo kesho, Jumatatu.

Mchezo huo ambao awali ulipangwa kufanyika jana Jumamosi, uliahirishwa na sasa utapigwa kesho saa 12 jioni kwenye uwanja wa Taifa.

Kwenye mchezo wa kesho huenda Simba huenda ikapata huduma ya mshambuliaji wake hatari, Emanuel Okwi ambaye aliumia kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii na kushindwa kuikabili Mtibwa Sugar wiki iliyopita.

Kocha wa Simba Patrick Aussems amesema Okwi ana nafasi kubwa ya kucheza mchezo huo.

Cleotus Chama na Deo Munishi watakosekana kwenye kikosi cha Simba kwa kuwa bado ITC zao hazijawasilishwa.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’