Kikosi cha Yanga kilitua salama jana nchini Ethiopia na kusafiri moja kwa moja mpaka jiji la Awassa yalipo Makao Makuu ya klabu ya Wolaitta Dicha.
Yanga imefikia katika Hoteli bora kabisa yenye hadhi ya nyota tano, Roli Hotel.
Yanga imefikia katika Hoteli bora kabisa yenye hadhi ya nyota tano, Roli Hotel.
ADVERTISE HERE