Okwi hatihati kuivaa Prisons

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Aug 2018
Okwi hatihati kuivaa Prisons
Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu wa 2018/19 inaanza keshokutwa Jumatano kwa mabingwa watetezi Simba kuikaribisha Tanzania Prisons kwenye mchezo utakaopigwa katika dimba la Uhuru.

Simba itaingia katika mchezo huo ikiwa tayari imeweka kibindoni taji la kwanza msimu huu, Ngao ya Jamii baada ya juzi kuichapa Mtibwa Sugar mabao 2-1 jijini Mwanza.

Kwenye mchezo huo Simba ilipata pigo baada ya mshambuliaji wake kinara wa mabao Emanuel Okwi kuumia kifundo cha mguu na kulazimika atolewe nje na nafasi yake kuchukuliwa na nahodha John Bocco katika kipindi cha pili.

Okwi huenda akaukosa mchezo huo wa kwanza kutokana na majeraha hayo ingawa hatma yake itafahamika baada ya mazoezi ya kesho jioni.

Hata hivyo kurejea kikosini kwa Bocco kumeondoa hofu kwenye safu ya ushambuliaji ikitokea Okwi atashindwa kushuka dimbani keshokutwa.

Bocco au Salamba mmojawapo anaweza kucheza sambamba na Meddie Kagere.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’