Beki kisiki Andrew Vicent Chikupe hatakuwa sehemu ya kikosi cha Yanga kinachoikabili Singida United leo baada ya kuumia kwenye mchezo uliopita dhidi ya Wolaitta Dicha.
Daktari wa Yanga Dk Edward Bavu amesema Chikupe anasumbuliwa na maumivu ya nyama za paja.
Tayari ameshapitwa matibabu na ataweza kuwa kurejea kuikabili Wolaitta Dicha April 18 kwenye mchezo wa marudiano kusaka tiketi ya kutinga hatua ya makundi kombe la Shirikisho.
Huenda Abdallah Shaibu aliyefanya vizuri mchezo uliopita dhidi ya Dicha akacheza na Kelvin Yondani katika safu ya ulinzi.

ADVERTISE HERE