Wydad Casablanca mabingwa wapya Africa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Nov 2017
Wydad Casablanca mabingwa wapya Africa
Wydad Casablanca imetwaa ubingwa wa AFrika kwa mara ya kwanza baada ya miaka 25 kwa kuilaza Al Ahly bao 1-0 na hivyo kuondoka na ushindi wa jumla wa mabao 2-1 baada ya sare ya bao 1-1 katika mchezo wa kwanza.

Mabingwa hao wa Morocco walijipatia bao pekee kupitia kwa mshambuliaji wake Walid El-Karti katika kipindi cha pili.

Wydad Casablanca imepokea ubingwa kutoka kwa Mamelodi Sundowns ambayo iliishinda timu nyingine ya Misri Zamaleki kwenye mchezo wa fainali msimu uliopita.

Wydad Casablanca itashiriki michuano ya vilabu bingwa duniani inayotarajiwa kuanza kati ya Dec 6-16 huko UAE.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’