Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba mda mchache ujao wanashuka kwenye dimba la CCM Kirumba Mwanza kuikabili Mtibwa Sugar katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Tayari kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameweka hadharani kikosi kinachoanza;

Idadi kubwa ya mashabiki jijini Mwanza wameendelea kumiminika kwa wingi kwenye uwanja wa CCM Kirumba kushuhudia mtanange huo.

ADVERTISE HERE