Ufaransa yaongoza viwango FIFA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Aug 2018
Ufaransa yaongoza viwango FIFA
Baada ya kutwaa kombe la dunia mwezi uliopita, Ufaransa inashika nafasi ya kwanza kwenye orodha ya mataifa bora ya soka duniani iliyotolewa na FIFA leo.

Ubelgiji imepanda nafasi ya pili wakati Brazil iliyokuwa nafasi ya kwanza ikiporomoka hadi nafasi ya tatu.

hizi hapa kumi bora;



Tanzania imeendelea kusuasua katika viwango hivyo baada ya kushika nafasi ya 140 huku nchi ya Kwanza kwa Afrika ikiwa ni Tunisia ambayo imeshika nafasi ya 24 sawa na Senegal.

Nyingine ni Congo(37), Ghana(45) na Morocco(46).
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’