Kocha msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa alikuwa Jukwaani kuangalia mechi ya timu yake dhidi ya Welayta Dicha pamoja na wachezaji wake Kelvin Yondani, Obrey Chirwa wakitumikia adhabu ya CAF.
Nsajigwa alikuwa akitumikia adhabu hiyo baada ya kutolewa katika benchi katika mchezo ya marudiano dhidi ya Township Rollers.
>Hata hivyo Yanga walishtuka janja ya CAF, kwa sababu jukwaani hapo alikuwa amekaa na kocha wa viungo Noel Mwandila.
Yanga walihofia kupata adhabu kwa kuwaweka makocha hao katika benchi, kwa sababu wanahisi kwamba aliyepewa adhabu ya kutokukaa katika benchi ni Noel Mwandila na siyo Shadrack Nsajigwa, hivyo wakaona wote wasikae katika benchi.
Wachezaji wengine Yanga waliokuwa jukwaani ni viungo Said Juma Γ’β¬ΛMakapuΓ’β¬β’ na Papy Tshishimbi ambao wote wametumikia adhabu ya kukosa mechi moja baada ya kupata kadi mbili za njano kwenye mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika.
Wachezaji hao watakuwa tayari kurejea kwenye kikosi cha Yanga katika mchezo wa marudiano huku nchini Ethiopia siku 10 zijazo
Mwanaspoti

ADVERTISE HERE