Kituo cha televisheni cha Azam kitarusha mbashara mchezo wa kirafiki kati ya Arusha United dhidi ya Simba utakaopigwa leo kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha.
Mchezo huo utaruka kupitia Azam Sport 2.
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba watautumia mchezo huo kama sehemu ya maandalizi ya mchezo wa ngao ya Jamii dhidi ya Mtibwa Sugar utakaopigwa dimba la CCM Kirumba, Jumamosi ijayo.
Simba iko mkoani Arusha tangu juzi.

ADVERTISE HERE