TFF yaweka hadharani viingilio Ngao ya Jamii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Aug 2018
TFF yaweka hadharani viingilio Ngao ya Jamii
Mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar utapigwa Jumamosi ijayo, August 18 2018 kwenye uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Jana Shirikisho la soka nchini (TFF) liliweka hadharani viingilio vya mchezo huo ambapo kiingilio cha chini kabisa ni Tsh 5,000/- Mzunguuko.

Jukwaa la VIP ni Tsh 10,000/- huku watoto wakitakiwa kulipa Tsh 1000/- tu kuushuhudia mchezo huo.

Simba tayari imeondoka jijini Dar es salaam ikiweka kambi mkoani Arusha kabla ya kukwea pipa kwenda mkoani Mwanza Alhamisi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’