Mwekezaji wa klabu ya Simba, Mohammed Dewji 'Mo' atakuwepo uwanja wa Taifa kuongoza shamrashamra za tamasha la SIMBA ambalo linaendelea.
Mo ndiye aliyefanikisha kwa kikubwa kurejesha heshima ya Simba Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa alioweka Msimbazi kuanzia msimu uliopita.
Hakika MO ni Simba na Simba ni Mo.
Mo ndiye aliyefanikisha kwa kikubwa kurejesha heshima ya Simba Tanzania kutokana na uwekezaji mkubwa alioweka Msimbazi kuanzia msimu uliopita.
Hakika MO ni Simba na Simba ni Mo.
ADVERTISE HERE