Kikosi cha Simba kinatarajiwa kuondoka leo kuelekea mkoani Mbeya tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mbeya City.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili,Novemba 05.
Simba inatumia usafiri wa ndege kuelekea Mbeya.
Baada ya mchezo huo Simba itabaki mkoani Mbeya hadi Novemba 18 itakaposhuka dimbani kuchuana na Prisons

ADVERTISE HERE