Manara apania kuitangaza Simba kila mahali

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jul 2018
Manara apania kuitangaza Simba kila mahali
Mkuu wa Idara ya Habari na Uhamasishaji ya klabu ya Simba Haji Manara amesema atakuja na mpango maalum wa kuitangaza Simba ili kuongeza mapato mara dufu.

Simba ndiyo timu iliyoongoza kwa mapato ya mashabiki kuingia uwanjani msimu uliopita ikikusanya zaidi ya Mil 380.

Kutokana na mabadiliko yaliyofanywa na TFF, kuanzia msimu ujao timu mwenyeji itachukua mapato yote ya mlangoni.

Hivyo timu zitakuwa na fursa ya kutumia viwanja vyake vya nyumbani kujiongezea mapato.

"Kwa wasiojua msimu huu wa ligi kila timu mwenyeji itachukua mapato yote ya milangoni siku ya mchezo," ameandika Manara kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram.

"Hivyo ninao mkakati maalumu wa kuhakikisha kila mechi yetu tunaitangaza kwa viwango vikubwa na katika hili ndio kunapokuja tofauti ya MSEMAJI MKUBWA na wasemaji wa timu"
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’