Kikosi cha Simba kinaendelea na maandalizi ya msimu mpya nchini Uturuki, leo wakiingia siku ya tatu tangu watue nchini humo.
Viongozi wa Simba wamestahili pongezi kwa maandalizi mazuri ya kambi ambayo itafikia tamati baada ya siku 15.
Simba ipo mji wa Kartepe katika moja ya kituo cha michezo kilichosheheni mahitaji yote ya timu kwa ajili ya mazoezi.
Mji huo upo juu sana kutoka usawa wa bahari. Mandhari yake yataisaidia Simba kutengeneza uimara wa miili ya wachezaji.

ADVERTISE HERE