Mnigeria wa Simba achemsha

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Nov 2017
Mnigeria wa Simba achemsha
Straika wa Simba Mnigeria Mussalawal Ibrahim ambaye alikuja hapa nchini kufanya majaribio katika klabu hiyo ameshindwa na huenda siku si nyingi akarudi kwao au akatafuta timu nyingine hapa nchini.

Ibrahim alijiunga na Simba wakiwa katika maandalizi ya mechi na Yanga huko Visiwani Zanzibar lakini ameshindwa kufikia kile ambacho benchi la ufundi lilikuwa linahitaji kutoka kwake na kama angeweza kufanya hivyo basi angesajiliwa.

Meneja wa Simba, Richard Robart alisema Ibrahim ni moja ya washambuliaji wazuri lakini kocha hakulidhika na kiwango ambacho alionesha katika mazoezi ambayo alikuwa akimpatia.

Robart alisema kama angeweza kufikia kile ambacho walikuwa wanahitaji benchi la ufundi lilokuwa chini ya kocha wake, Joseph Omog basi wangempa fomu ya usajili katika dirisha dogo ambalo litafunguliwa Novemba 15.

Ò€œAnamwili mkubwa anauwezo lakini kuna vitu vya kiufundi zaidi ambavyo kocha alikuwa anahitaji kutoka kwake katika mazoezi ambayo alikuwa akimpatia hakuweza kufanya kwa kiasi ambacho mwalimu alikuwa anataka,Ò€ alisema.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’