Kiungo Thaban Kamusoko aliyesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia Yanga jana, ameomba ruhusa arejee kwao nchini Zimbabwe kushughulikia mambo binafsi na Jumanne ijayo atakuwa amerudi kujiunga na kikosi cha Yanga.
Mbali na Kamusoko, Donald Ngoma nae ataanza mazoezi na kikosi cha Yanga Jumanne ijayo.
Mbali na Kamusoko, Donald Ngoma nae ataanza mazoezi na kikosi cha Yanga Jumanne ijayo.
ADVERTISE HERE