Simba yaichapa JKU 1-0, yatinga fainali Kagame Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Jul 2018
Simba yaichapa JKU 1-0, yatinga fainali Kagame Cup
Mabingwa wa Tanzania Bara Simba wametinga fainali ya michuano ya kombe la Kagame baada ya kuichapa JKU bao 1-0 kwenye mchezo wa nusu fainali uliopigwa Jumatano jioni, uwanja wa Taifa.

Simba sasa itachuana na mabingwa watetezi wa michuano hiyo Azam FC ambao kwenye mchezo wa mapema waliilaza Gor Mahia mabao 2-0.



Bao la Simba lilipatikana kwenye dakika ya 45 kipindi cha kwanza mfungaji akiwa Meddie Kagere aliyepokea pasi murua kutoka kwa Nicholas Gyan.

Kagere amefunga bao lake la tatu kwenye michuano hiyo akiwa ameitumikia Simba kwenye michezo minne tangu asajiliwe kutoka Gor Mahia.

Mchezo wa fainali utapigwa keshokutwa Ijumaa ambapo utatanguliwa na mchezo wa kusaka mshindi wa tatu kati ya Gor Mahia dhidi ya JKU.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’