Bodi ya ligi kuu ya Vodacom imetoa mchanganuo ya mapato ya mlangoni ya msimu uliopita ya vilabu vyote zilivyoshiriki ligi kuu ya Vodacom.
Simba imeongoza orodha hiyo kwa kukusanya zaidi ya Mil 380 huku Yanga ikishika nafasi ya pili ikikusanya zaidi ya Mil 257.
Lipuli FC imeshika nafasi ya tatu kwa kukusanya zaidi ya Mil 71.

ADVERTISE HERE