Mohammed Rashid aipeleka Simba nusu fainali Kagame Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Jul 2018
Mohammed Rashid aipeleka Simba nusu fainali Kagame Cup
Bao la dakika ya 64 lililofungwa na Mohammed Rashid limeiwezesha Simba kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la Kagame baada ya kuilaza AS Ports ya Djibout kwa bao 1-0 kwenye mchezo uliopigwa katika dimba la Taifa Jumapili jioni.

Rashid aliingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Adam Salamba ambaye aliumia.

Ulikuwa ni mchezo uliotawaliwa na Simba kwa muda mwingi.

AS Ports walikuwa na bahati ya kwenda mapumziko wakiwa hawajafungwa na kumaliza mchezo huo wakiwa wamefungwa bao moja pekee kutokana na kosakosa nyingi zilizofanywa na Simba.



Mapema Gor Mahia iliichapa Vipers mabao 2-1 katika mchezo mwingine wa robo fainali uliocheza saa 10 jioni kwenye dimba la Taifa.

Michezo mingine ya robo fainali itakamilishwa kesho Jumatatu ambapo Azam FC itacheza na Rayon Sports ikifuatiwa na mchezo kati ya Singida United dhidi ya JKU
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’