Yanayojiri Urusi : Kadi za njano zaiondoa Senegal kombe la Dunia

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jun 2018
Yanayojiri Urusi : Kadi za njano zaiondoa Senegal kombe la Dunia
Senegal imeondoshwa kwenye michuano ya kombe la dunia baada ya kulazwa bao 1-0 na Colombia licha ya kulingana takwimu na Japan iliyolazwa bao 1-0 na Poland.

Japan imesonga mbele baada ya kuwa imepata kadi chache za njano kuliko ilizopata Senegal.

Japan na Senegal zote zina alama nne, zimefunga na kufungwa mabao manne.

Colombia imetinga hatua ya mtoano ikiwa vinara wa kundi H kufuatia ushindi huo wa bao 1-0 dhidi Senegal.

Sheria hiyo iliyotumika kuwaondoa Senegal huenda ikazua mjadala mpana kwa wadau wa soka dunia na halitakuwa jambo la kushangaza kama FIFA itakuja na utaratibu mwingine wa kiungwana zaidi.

Senegal imehitimisha safari ya timu za Afrika kwenye michuano ya kombe la dunia kuishia hatua ya makundi.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’