Yanga yaenda Songea kwa Bombadier

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Feb 2018
Yanga yaenda Songea kwa Bombadier
Kikosi cha Yanga tayari kimeondoka kwa usafiri wa Ndege ya ATCL (Bombadier) kwenda mkoani Ruvuma kuivaa Majimaji kwenye mchezo wa kombe la FA, hatua ya 16 bora.



Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili kwenye uwanja wa Majimaji, Songea.

Ili kwendana na ratiba, Yanga imelazimika kutumia usafiri wa Ndege kuhakikisha haiwachoshi wachezaji wake ambao wamerejea juzi usiku kutoka Shelisheli.

Kabla ya 'kupaa', kikosi cha Yanga kilifanya mazoezi ya asubuhi
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’